Kutoka kwa ALFRED MUGANYIZI (+255764222145) wa Kyaka, wilaya ya Missenyi, Tanzania: Hapa tuna magugu maji mengi katika mto Kagera. Magugu haya yanatusumbua sana na yamekuwa kero. Je ninaweza kutumia magugu maji kama mbolea shambani? (Notes: this farmer is asking whether you can use WATER HYCINTH as compost and use it on gardens. How can he utilize water hycinth as compost)